Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, January 17, 2014

HUZUNI; AJALI YA PIKIPIKI YA TISHA SANA..........CHECK HAPA

 Huu ni muonekano wa Sylver Sebe baada ya kupata ajali ya pikipiki tarehe 17/01/2014 Morogoro, kijana akiwa hospitali kabla ya kupata matibabu ya aina yeyote aliongea na mwandishi wetu wa habari wa Numvire Ground alisema " Mimi nilipakizwa kwenye Bodaboda tulipofika kwenye kiprefti cha Morogoro Mjini Dreva alishindwa kuzunguka kiprefti hicho na hatimaye pikipiki ikaanguka mimi ndie nilieumia sana kwani kidole changu kikakatika Eeeeh Mungu nisaidie" huyu ameumia sana ukirejea katika picha hii unaweza kuona vizuri kwa namna gani alivyoumia usoni.
Eeeeeeh Mungu msaidie apone 
Mkono wake ulikuwa hivi kidole kimoja kikionekana kimekatika.

Mwanzo alikuwa hivi  kama anavyoonekana pichani hapa chini

No comments:

Post a Comment