Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Tuesday, December 10, 2013

NYEPESI NYEPESI KUTOKA MKOANI TANGA ZA SHIMIVUTA.


 Hivi ndivyo safari ilivyokuwa kutoka Dodoma kwenda Tanga kwenye michezo ya Shimivuta, Nyuso za wachezaji wetu zikionekana za furaha baada ya kufika salama Mkoani Tanga.
 Msaka cha uvunguni lazima ainame, Mazoezi yalianza mara moja uwanjani hapa bila kulaza damu.
 Maelekezo kutoka kwa mwalimu wetu yaani coacher akizungumza na wachezaji wetu baada ya mazoezi haya.
Corn ikichukua fursa yake kwa wachezaji wetu.
                            MATOKEO YA MECHI ZA KWANZA YAKO HIVI;
Netball
CBE Vs Mipango
Cbe 16 - 14 Mipango
Volleyball
CBE Vs Arusha Tecnical college
Cbe set 2 -  set 3 Arusha Technical college

No comments:

Post a Comment