Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Thursday, December 26, 2013

MREMBO WA KITANZANIA ALIYEKAMATWA NA HEROIN CHINA...SOMA HAPA.



Polisi wakichunguza vidonge ambavyo huyu mrembo alikuwa amevimeza. huyo binti anaitwa Jackie Cliff. ..appeared in Diamondz Nataka Kulewa.

Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao. Dawa hizo zilikutwa tumboni mwake baada ya kushtukiwa na kufanyiwa X-ray ambapo alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.

Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.

Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake kwenye press conference huko Macau, Disemba 19, 2013.
Waandishi wa habari wakipiga picha vidonge vya heroin alivyokamatwa navyo mremboi huyu wa Kitanzania.

No comments:

Post a Comment