Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Thursday, December 26, 2013

JANA NDANI YA LEADERS CLUB ( DIAMOND & WEMA), MAMBO YASANUKA.

Diamond akitoa zawadi kwa mshindi wa nne katika kucheza wimbo wa Number One 'Ngololo'.

Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki wake ndani ya Viwanja vya Leaders jana.


Diamond akiwa na washindi wa kucheza 'Ngololo' ambao ni wanafunzi wa darasa la nne Rama (kulia) na Hamis (katikati). Diamond ameahidi kuwasomesha washindi hao kuanzia darasa la nne mpaka watakapomaliza elimu ya msingi
Diamond akicheza na mpenzi wake wa zamani anayedaiwa kurudiana naye, Wema Sepetu.
Mapaparazi wakichukia picha za wawili hao stejini.
Timu ya wasafi juu ya steji.
Mashabiki waliojitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Leaders Club.
Babu Tale (kushoto) ambaye ni kiongozi wa Kundi la Tip Top Connection akiwa na shabiki wake.
Shaffih Dauda pamoja na mwanaye (katikati) wakiwa na wadau mbalimbali.

No comments:

Post a Comment