Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, December 14, 2013

FRESHERS YA CBE DOM KUFANYIKIA ROYAL VILLAGE BAADAE CLUB LA AZIZ KWA WANAFUNZI NI BUREEEEEEEE!

 Baada ya ushindi wa Baraza la Mawaziri kushinda timu ya Wabunge kwa penalti 6-5, Wasanii wetu walitua uwanjani kutoa pongezi kwa Mawaziri akiwemo Shetter the Don, Makomando na Queen Darling, Mhe. Ignas akiwapokea kwa shangwe za kutosha.
 Mashabiki wakiwa hapa na wasanii
 Fredy wa Makomando akiwa na wanafunzi hapa.
 Katibu mkuu wa Burudani Mhe. Stoper akiwa na Muki kutoka kundi la Makomando.
  Katibu mkuu wa Burudani Mhe. Stoper akiwa na Muki kutoka kundi la Makomando.
 Mhe, Naibu Waziri wa Burudani akitokelezea na Muki wa kundi la Makomando.
 baada ya mechi wachezaji wanapongezana
 Uwanjani ilikuwa hivi kama inavyoonekana hapa Mhe, Shaweji kushoto akiwa anatoa fulsa za Magori
 Refa upande wa kulia Bw, David Frank( Personal kid) akiongoza hili gurudumu la mchuano mkali huu.
 Waziri mkuu akiwa na viongozi upande wa Baraza la Mawaziri akifatiria mechi hii.
 Mhe, Vicent akifungua nyavu kwa Gori la kwanza upande wa Baraza la mawaziri
 Mhe, Njau akitoa maji kwa upande wa Wabunge
 Zamu ya Mhe, katibu mkuu wa Habari Angelo numvire (NUMVIRE GROUND) kupiga Penalt.
 Hapa ni baada ya ushindi wa matuta
 Waziri wa Habari Mhe, Pesa mbili akiwa na katibu mkuu wake wakishangilia baada ya kufunga magori ya penalti bila kupoteza hata moja.
  Waziri wa Habari Mhe, Pesa mbili akiwa na katibu mkuu wake wakishangilia baada ya kufunga magori ya penalti bila kupoteza hata moja.


Mhe, Katibu Mkuu Kiongozi akiwa na Mhe, Shaweji baada ya mpira kuisha uwanjani

No comments:

Post a Comment