Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, November 30, 2013

ZAWADI ZA MAHIMBO CUP ZATOLEWA BAADA YA FAINALI.

 Mungaji bora Emma Shunda akipewa stahiki yake,
 Azizi mzee wa kamati yupo karibu kulinda usalama wa mfumania nyavu bora,
 Saada Tamimu akipokea zawadi ya washindi wa netball.
 George hongera kaka jitihada zako tokea certificate tumeziona leo.
 Biku hongera kaka,japoo ulitarajia kubeba ubingwa wa kabumbu.
 Hata mshindi wa pili naye mshindi,sote tukiwa wa kwanza nani atakuwa wa pili?
 Captaaain Abdul Said tuchukulie chetu.
 Michomo yote niliyo okoa acha tujinafasi na kombe letu.
 Joh aminia kaka hii ndo ngazi ya kumfuata Hasheem Thabeet majuu.
 Tabasamu la ushindi,kushinda raha.
 Matunda ya jasho letu haya:
Nilikusubili siku nyingi,nadhani moyoni analiambia kombe hili.

No comments:

Post a Comment