Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Tuesday, November 19, 2013

UTAMBULISHO WA MPENZI WAKE DAVIDO KWA MARAFIKI ZAKE ULIKUWA HIVI.......!





MWANAMUZI anaetikisa kimataifa kutoka nchini Nigeria ''Davido'' Kwa mara ya kwanza aamua kumtambulisha mpenzi wake Funmi Aboderin Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa Instagram,

Baada ya kuachia kibao chake kipya miezi michache iliyopita (The Skelewu Crooner) Na kuandika kwamba hana muda na wachumba wala mahusiano kumaanisha yupo Singo kupitia ukurasa wake wa twitter..!

Sawa, Kwa sasa taarifa zilizoifikia Website hii ya Masai Nyotambofu kupitia ukurasa wa Instagram wa Davido ni kwamba Davido na Funmi wako pamoja kama mizizi na ardhi.


No comments:

Post a Comment