Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, November 10, 2013

UMEWAHI KUONA MASAJI YA NYOKA?....FATIRIA HAPA.


Kama wewe ni msomaji mzuri wa Blog hii tuliwahi kukuletea Habari ya mwanamama mmoja anaefanya masaji kwa kutumia MATITI YAKE kama hakumbuki picha moja wapo ni hii hapa chini

 lakini sasa tuiache hiyo sasa kuna hii nyingine ya kufanyiwa kwa kutumia Nyoka Masaji hii ni maarufu sana huko indonesia na inapendwa sana na baadhi ya watu hebu jionee Picha
Hapa nyoka akimfanyia katika macho na usoni kwa ujumla je?wewe unaweza kuthubutu hii kufanyiwa hivi...
Kama unavyojionea katika Picha Joka likijivinjari sehemu mbalimbali ya Mwili wa mteja wa masaji hii.
Hapa ndipo inapoifadhiwa Nyoka huyo na utolewa humu pale mteja anapokuja kupata huduma.
Huyu ndo Mwanamama alietumia 'FURSA' ya kuanzisha Masaji hii na ukiangalia kwenye mapazia utaona mteja tayari yupo tayari kupata huduma hiyo.
Sina cha kuongeza juu ya hili zaidi ya kusema huwenda ukawa ni ubunifu wa hali ya juu lakini pia inaweza kuwa Hatari sana sijui wataalam nikiwa na maana ya Madaktari sijui wanasemaje juu ya hii je?kutakua akuna madhara yoyote yatokanayo na hii kitu endelea kufatilia hapa hapa tutarudi na wataalam wa masaji na wengineo wengi wanasemaje juu ya hili nawe kama unachochote cha kuchangia usisite kutoa maoni yako.

No comments:

Post a Comment