Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, November 23, 2013

KUWA WAKWANZA KUJUA YALIYOJILI BAADA YA MAHAFARI UDOM..........!!!

 Kijana anaswa na camera yetu akiwa anapasha kwa furaha iliyokidhili baada ya mahafari yake pichani ni (Salvertory Sebe) camera iliendelea kuchukua kijana huyo mpaka sehemu husika alipo andaliwa tafrija fupi. Kijana aliye hitimu katika chuo kikuu cha UDOM mkoani Dodoma akiwa na degree ya 1 ya Education.
 Salvertory  akikaribishwa meza kuu.
 Kulia ni kaka yake Salver Mr. Matiku sebe akiwa na mhitimu Bw. Salver Sebe.
 Mr. Sebe akiwa na kijana wake aliyehitimu elimu yake ya juu na kushoto kwake akiwa na mchungaji Makundi
 Angelo Numvire akiwa na mtoto wa mhitimu huyo.
  Angelo Numvire akiwa na mtoto wa mhitimu huyo.
 Salvertory akiwa na shemeji yake Christina Numvire.
  Salvertory akiwa na shemeji yake Christina Numvire akimpa pongezi baada ya kumatiza elimu yake hiyo, Christina Numvire alisema angependa aone tena bw. Salver akiwa amevaa Joho akiwa na masters kwa sababu safari moja huanzisha nyingine wala asikate tamaa, hayo ndiyo maneno yake.

 Pichani ni Suma akiwa na shemejiyake Mrs Salvertory.



Hii ndiyo familia ya Mr. & Mrs Sebe

No comments:

Post a Comment