Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, October 18, 2013

UMEJIANDAAJE NA SHOW YA KESHO CLUB LA AZIZ?

Club la aziz wanakuletea top djz in town yaan idodomyaaa crew nzima ya impact fm djz, dodoma fm djz, kifimbo fm djz,na abm fm djz kugonga ngoma ndani ya club la aziz : j mosi ya tar: 19/10 show itasindikizwa na msanii Sacho Buay, Ascar Shentee, PD mass, Hasly.. Kutoka ndani ya Chuo cha Cbe kwa kiingilio cha sh 3000/= dadaz na wanafunzi wa Chuo wote  wataingia bure..... Sielewiiiiiiiiii
HAYA YOTE NI MAANDALIZI YA SHOW HII
Katibu mwenezi (Frank a.k.a personal kid) akiendelea na vikao vyake kuhusu show kali ya juma mosi hii tarehe 19/10/2013
                       Stage itakayo tumika ndani ya Club la Aziz Classic.
 Sacho Buay akiwa na masela wake kibao wakijiandaa kunukisha siku ya juma mosi





 Gudbuay akiwa na wana hapa yote maandalizi ya kukinukisha juma mosi, duuuuuu hii mfuniko.
             Mwandalizi wa show hii Mkurugenzi Jagajaga Entretment.

No comments:

Post a Comment