Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, October 30, 2013

SHOW ZIKILINDIMA NDANI YA MKOA WA DODOMA MFULULIZO IJUMAA NA JUMA MOSI.....MAKOMANDO WA THT WAKIHUSIKA.

Hii ni show ya mashindano ya wasanii wa vyuoni yatakayo fanyika Ijumaa ya tarehe 1/11/2013, kumbuka ni mashindano makari sana kumsaka Msanii bora kutoka vyuoni na zawadi zitatolewa kwa washidi.    na    
                                   
                                 JUMA MOSI NI KIBOKO YAKE, NI MAKOMANDOO

Tshet na tai zitausika siku iyo! Ile crew zima ya makomando kutoka THT na   style yao ya kibega kulindima j.mos hii ndani ya CLUB LA AZIZ  wataka jua kiing: sh ngap? couple Tsh 5000/= na single Tsh 3000/= Utaelewa tuuuuu. Imezaminiwa na Nea fashion iliopo sabasaba na Kitemba Hotel.

No comments:

Post a Comment