Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, October 6, 2013

CHEKI MAKAMUZI YA OMMY DIMPOZ NDANI YA LOS ANGELES, CALIFORNIA.



Mwanamuziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akifanya makamuzi ndani ya Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo. Ommy Dimpoz ambaye yupo ziara ya Marekani California ikiwa ni show yake ya tatu kabla ya hapo alifanya show DMV na H-Town (Houston), Texas.

Shabiki akienda pozi kwa pozi na Ommy Dimboz kwenye makamuzi yake aliyofanya Los Angeles, California usku wa Jumamosi Oct 5, 2013.

Juu na chini ni mwanamuzi wa kizazi kipya Lady C kutoka Uganda akienda pozi kwa pozi na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz wakati alipofanya show Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo.


Shabiki haamini macho yake akipata picha na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz alipofanya show yake ya tatu nchini Marekani iliyoifanya Los Angeles, California.

Shabiki namba moja wa Ommy Dimpoz akienda nae pozi kwa pozi siku ya Jumamosi Oct 5, 2013 ndani ya jiji la Los Angeles, California usiku wa kuamkia leo Ommy Dimpoz alipofanya show yake ya tatu kwenye ziara yake nchini Marekani.

Shabiki akienda Pozi kwa pozi na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz usiku wa kuamkia leo ndani ya jiji la Los Angeles, California.

Juu na chini ni Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki huku wakishindwa kujizuia na kujikuta wakimtunza msani huyo wa pozi kwa pozi.


kwa picha zaidi bofya soma zaidi

















Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Blog Los Angeles, California

No comments:

Post a Comment