Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, October 26, 2013

BONDIA MWANASIASA KUGOMBE URAIS NCHINI UKRAINE 2015 AKIWA NA ELIMU YA PhD...SOMA!


 Vitali Klitschko warns of 'Syria-like uprising' in Ukraine
                                 BONDIA Vitali Klitschko.

Vitali Klitschko is a powerful force in the ring and politics. BONDIA maarufu wa Ukraine Vitaly Klitschko ambae ni Mwanasiasa kutoka chama cha upinzani, amethibitisha kugombea Urais wa nchi hiyo kwenye uchaguzi utak aofanyika mwaka 2015.

Klitschko alianza rasmi mambo ya siasa mwaka 2005 baada ya kugombea kuwa Meya wa jiji la Kiev lakini hakufanikiwa na baadae kuja na chama kiitwacho UDAR, jina hilo likimaanisha “punch” kwa Ki-Ukraine ambapo chama hiki kilishinda viti 42 kati ya 450 vya bunge kwenye uchaguzi uliopita hivyo kukifanya kuwa miongoni mwa vyama vya upinzani vyenye nguvu.

Staa huyu wa ndondi ambae anayo PHD, amepewa jina la utani la Dr Ironfist kutokana na rekodi yake aliyoivunja kama mwanandondi kwenye
punches.

Hata hivyo kwa mujibu wa sheria za Uchaguzi nchini humo, Mgombea Urais yeyote ni lazima awe ameishi nchini humo kwa miaka kumi mfululizo kitu ambacho Klitschko anasema ‘hii sheria imewekwa makusudi kwa ajili yangu kwa sababu nimekua Ujerumani kwenye mafunzo kwa muda mrefu’.

No comments:

Post a Comment