Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, August 2, 2013

R.I.P MAMA SHAA, NYOTA WA BONGO FLAVOUR AFIWA NA MAMA YAKE.

Mwanamziki SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.

GUMZO LA JIJI linatoa pole sana kwa Shaa pamoja na Familia yake.  Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

R.I.P Mama Shaa.

No comments:

Post a Comment