Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, August 18, 2013

LADY JAYDEE AFANYA VIZURI KWENYE VIDEO YAKE``YAHAYA`` ONA YALIYOJILI KWENYE UZINDUZI WA NYIMBO HIYO.


feza-kessy-lady-jay-dee
Burudani nzima ilianza mida ya saa nne na nusu usiku ambapo Machozi Band iliporomosha ngoma juu ya ngoma pasi na kuwa na Binti machozi alias Anaconda, Lady jay dee ambaye alikuwa code 254 Kenya alipokwenda kuchukua video yake hiyo.
Huku watu wakiendelea kuongezeka kadri muda ulivyosogea ndipo shangwe kubwa zilipoibuka mida ya saa sita kasoro usiku pale mgeni rasmi BBA the chase Fezza Kessy alipotangazwa kuingia ukumbini.
Show iliendelea kwa Machozi Band kudondosha ngoma kali kisha Fezza alipewa nafasi ya kusalimia watu kabla ya kuitwa tena jukwaani kula keki iliyoandaliwa na shabiki wa Machozi Band. 
 feza-kessy2
Shangwe zilikuwa za kushiba zaidi mida ya saa saba za usiku baada ya Anaconda- Lady jay dee kupanda jukwaani na kugonga ngoma mchanganyiko kabla ya kumualika tena Fezza jukwaani ambaye alitoa thanks nyingi kwa Jide bila kuimba. lady-jay-dee11
There after, kila kitu jukwaani kiliwekwa chini na macho yote yakahama kutoka jukwaani kuzielekea projectors zilizopo ndani kucheki kichupa hicho.
Frankly, Yahaya video ni kali na ina kila sababu kufanyiwa Lounging ya dizain ile. Kama ulimis, umekosa uhondo
 lady-jay-dee31
Much respect to Machozi Band, Nyumbani Longue management, Lady jay dee, Team Anaconda na wote waliosababisha kith hii kufanyika,….
 HAWA NI BAADHI YA WASANII WALIO JITOKEZA KWENYE UZINDUZI HUO

vannessa-feza-kessy



Feza kessy na vanesa mdee

http://baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2013/08/vanessafeza.jpg



mkoloni


feza-kessy1

No comments:

Post a Comment