Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, April 28, 2013

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge Wa Hai Freeman Mbowe na Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe Wazindua Kanda ya Magharibi Mkoani Tabora


 
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe wakipiga makofi muda mfupi baada ya kuzindua Kand Ya Magharibi ya Chadema jana mkoani Tabora
 
 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe akiunguruma mbele ya Mamia ya wanachama wa Chadema Mkoani Tabora wakati wa Uzinduzi wa Kanda ya Magharibi Jana
 
 
Meza Kuu ya Viongozi wa Chadema Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe(wa pili kulia) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe wa kwanza kushoto)wakifwatilia kwa makini kwenye uzinduzi wa kanda ya magharibi Mkoani Tabora jana.Picha zote na Jamiiforums

No comments:

Post a Comment