Pages

Monday, March 10, 2014

WAFANYABIASHARA YA MADINI YA MCHANGA,KOKOTO NA MAWE WAANDAMANA MPAKA KWA MKURUGEZI WA JIJI LA MBEYA

 Wafanyabiashara ya Madini ya mchanga,kokoto na mawe Jiji la Mbeya wameandamana kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kwa kutumia maroli kupinga waraka wa Wizara ya Nishati na Madini unaowataka watumiaji wa bidhaa hiyo kulipia shilingi elfu mbili mia tano kuanzia Machi 3 mwaka huu. Habari na Joseph Mwaisango

No comments:

Post a Comment