NUMVIRE GROUND
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, January 28, 2014
HABARI MPYA KUHUSIANA NA GRACE MWANAMZIKI WA NYIMBO ZA INJILI
MWANAMUZIKI GRACE AMAH
Ndoa ya huyu dada inaelekea kuyumba, mume wake anadai kwamba alikuwa anahisi muda mrefu kuwa mke wake anatembea na mfanyabiashra mmoja mkubwa.
Ila mwana dada huyu nae alijitetea kwamba mume wake nae ni msaliti kwani alikuwa ni mchungaji nae aliachishwa
kazi hiyo kutokana na kashfa za ngono..
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment