Pages

Saturday, January 4, 2014

HIZI NI PICHA ZA LAANA...WATU WAKIFANYA MAASI KWENYE FUKWE ZA BAHARI CHECK HAPA.

Kumezuka tabia ya watu kufanya mambo yaliyo kinyume na maadili katika fukwe za bahari (Beach),vitendo hivyo ni utumiaji wa madawa ya kulevya, ufutaji wa bangi, ulevi wa kupindukia mbaya zaidi ongezeko la vitendo vya NGONO (kurana URODA) tena mchana kweupe bila uwoga wowote, tutokomeze tabia hizi zinazopelekea kuvunja maadili ya kiafrika.
Waafrika tuwe mfano mziri katika jamii zetu tusipende kuigaiga maadili ya wenzetu wa nje.

1 comment: